Yanga Yapania Kufika Fainali Kimataifa

Written by on February 6, 2023

” Kila kitu kinaenda sawa kwa upande wa maandalizi,Sisi malengo makubwa kwenye hatua hii ya makundi ni kufuzu kwenda hatua inayofuata, tunataka tufuzu tukiwa tunaongoza Kundi, kisaikolojia ukifuzu ukiwa unaongoza kundi unawajenga Wachezaji kwenye mchezo wa Robo fainali”

“Malengo makubwa kwenye mashindano haya Sisi Yanga ni kucheza Fainali, haya malengo tumeyapata baada ya kuona ubora wa kikosi chetu , Benchi la ufundi na kuangalia Timu zingine ambazo zinashiriki , ” – Ally Kamwe

Hayo ni maneno ya Afisa habari wa Klabu ya Yanga akielezea maandalizi na mipango yao kuelekea kwenye Mashindano ya Kimataifa ( Kombe la Shirikisho CAF)

@cloudssports
#SportsXtra #7bisha

 


Current track

Title

Artist