Hamasa Mashabiki Simba , Yanga Imeshuka
Written by Tariq on February 7, 2023
” Energy ya Mashabiki wa Soka Msimu uliopita ukilinganisha na Msimu huu kidogo vibe (mzuka/hamasa)imeshuka, vibe kushuka sio kama Watu hawana imani tena ila nahisi Watu wameanza kuelewa mpira ni mchezo wa aina gani , Tunavyozidi kwenda mbele Watu wanazidi kupata elimu ya mpira”
“Wakati ule Simba anapambania Robo fainali matumaini yalikuwa makubwa sana , nilishangaa kwenye kampeni za Mtu fulani mwaka jana akisema suala la ushindi niachieni Mimi” – @jamestupatupa
Ni kweli watu wamekata upepo huko Mtaani ?
@cloudssports
#HiliGame #7bisha