Kufika Fainali Msimu Huu ni Ngumu Labda Miujiza

Written by on February 7, 2023

” Yanga Wachezaji wake wengi hawana form (kiwango ) nzuri kwa wakati husika lakini kama Timu wanacheza na wanapata matokeo ndio maana Yanga kushinda sio habari tena kwenye Ligi yetu, (Kmataifa) kwa Timu zetu kuweza kutoboa kwenye makundi inawezekana lakini hizo hatua ambazo watu wanaziota (Fainali) tunahitaji miujiza ya soka”

“Mara nyingi tulikuwa tunashindana Afrika lakini tulikuwa hatutaki kushindana namna ambavyo timu Afrika zinashindana, tunaona kama tumeongeza kitu lakini kilichoongezeka ni ule ushindani ambao Afrika inauhitaji” – @amrikiembatz

@cloudssports
#HiliGame #7bisha


Current track

Title

Artist