Dauda Apongeza Kassim Dewji Kustaafu

Written by on February 6, 2023

” Haya mambo tumezoea kwa Wazungu, sio tu Tanzania bali Afrika watu huwa wanapenda kung’ang’ania kuendelea kuwepo kwenye nafasi, nimependa namna alivyoiweka kwamba ameamua kustaafu , anahisi wa zaidi ya miaka 25 amekuwa sehemu ya Simba , anawaachia kizazi kipya waichukue (Simba) hapa ilipo kwenda mbele ni maamuzi mazuri “- @shaffihdauda_

DIGALA amepongeza uamuzi wa Kassim Dewji kwa kuamua kuachia nafasi yake na kuwapa nafasi Vijana wapya ili wasaidie kuipeleka mbele Klabu hiyo (Simba SC) .

Kwako kama mdau wa michezo, umeupokeaje uamuzi huu wa Dewji ?

@cloudssports
#SportsXtra #7bisha

 


Current track

Title

Artist