Sakho, Baleke Kuumia Hakuna Athari

Written by on February 6, 2023

 

Uchambuzi wa Amri Kiemba kwenye mchezo wa jana wa kirafiki kati ya Simba dhidi na Al Hilal ya Sudan, ambapo baadhi ya Wachezaji walishindwa kuendelea baada ya kuumia .Je kiufundi ipoje ?

” Kama Mwalimu (Kocha ) atakosa Wachezaji ni kweli atakuwa amepungukiwa kwa sababu unahitaji Wachezaji wote ili uweze kuchagua Kikosi bora, sio kutumia Kikosi ambacho kipo”

” Lakini kusema kucheza mechi wakati unaenda kwenye Mashindano ndio kumesababisha Injury sio sawa , Injury Wachezaji wanapata hata Mazoezini , Mechi ile ni sehemu ya Mazoezi lakini ni kama unanoa kisu “- @amrikiembatz

@cloudssports
#HiliGame #7bisha

 


Current track

Title

Artist