vipers SC ni Timu Kubwa Ilibadili Jina 2012

Written by on February 10, 2023

DIGALA ametoa faida kwa Wanamichezo waliokuwa wakidhani Vipers ni timu mpya kwenye medani za soka la Afrika Mashariki, hili limekuja baada ya baadhi ya Watu kutokuwapa nafasi ya kufanya vizuri kwenye kundi lao ( CAF CL) ambalo wapo wao, Simba , Raja na Horoya .

” Kwa faida ya Msikilizaji , Vipers ni Timu kubwa ila ilibadili jina siku za hivi karibuni ilikuwa ndio Bunamwaya. Bunamwaya ilifanya balaa kubwa hapo kati kati, Mmiliki wa hii timu alibadili jina ikawa Vipers ( 2012) kwa hiyo hii ni timu kongwe”- @shaffihdauda_

@cloudssports
#HiliGame

 


Current track

Title

Artist