Simba na Yanga Hazijafika Level ya Ubingwa Afrika

Written by on February 7, 2023

“Hii misimu mitatu ambayo Simba amekuwa akicheza Robo fainali , imeonekana suala la kushinda kwenye hatua ya makundi kwenda hatua inayofuata ni suala la kawaida, hili limefanya Mashabiki wa Tanzania kuona suala lolote linawezekana,”

“Kuwa bingwa ni mpira tu unaweza kuleta maajabu yake lakini hatujafikia level hiyo ya kuwa mabingwa wa Afrika, ukiangalia Simba ambao wamekuwa wakishindana vizuri ni kama wanatengeneza timu yao, hata ukiona Simba ambavyo inacheza kwenye Ligi bado haijawa imara lakini ina Wachezaji wenye daraja zuri” – @amrikiembatz

Kweli timu za Tanzania kushinda ubinwa wa Afrika bado bado ?

@cloudssports
#HiliGame #7bisha


Current track

Title

Artist