Mimi Ni Mcheza Mpira na Bado Nacheza

Written by on January 26, 2023

Afisa Mtendaji mkuu mpya wa Simba SC Imani Kajula ameimbia #SimbaSCTV kuwa yeye ni mwanamichezo , amecheza mpira na bado anacheza mpira hivyo anaujua vyema mpira mbali na kuwahi kuwa muajiriwa kwenye sekta ya michezo.

“Ni mzoefu mzuri wa Simba , nimefanya kazi na Simba na ni mkeleketwa mkubwa wa Simba,
kwenye upande wa mpira mimi ni mpenzi mkubwa wa mpira wa Tanzania lakini pia nimefanya kazi kwenye mpira nikiwa kwenye ajira na nje ya ajira lakini pia mimi ni mcheza mpira hadi leo hii nacheza mpira” – Imani Kajula

@cloudssports
#7bisha


Current track

Title

Artist