Ten Hag Kuwang’oa Nyota Sita United

Written by on February 4, 2023

Kocha mkuu wa Manchester United Ten Hag ameweka wazi dhamira yake ya kuwaacha baadhi ya Wachezaji wa kikosi hiko ili kuwapa nafasi Wachezaji wapya waliosajiliwa kwenye dirisha dogo .

Nyota waliotajwa ni Mlinzi Harry Maguire , Eric Bailly , Telles , Mc Tominay ,Donny van de Beek na Martial huku lengo likitajwa ni kuwa na Manchester bora zaidi siku za usoni .

Jina la Nyota gani liongeezwe kwenye orodha ? 😁

#cloudssports
#7bisha


Current track

Title

Artist