Yanga Yawatakia Kila la Kheri Simba

Written by on February 20, 2023

 

Rais wa Klabu ya Yanga amewatakia watani zao Sinba SC kila la kheri kwenye mashindano ya Klabu bingwa barani Afrika TotalEnergiesCAFCL , hii imekuja baada ya kuulizwa kuhusu kauli ya Meneja wa habari wa Simba Ahmed Ally kunukuliwa akisema kila mtu apambane kivyake .

“Ukitazama fikra ya Kiongozi mkuu wa nchi Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa bonasi kwa timu zote zinazoshiriki mashindano ya Kimataifa na hii ndio dira ya nchi yetu, Sisi kama Yanga tunawatakia Simba kila la kheri katika mashindano ya kimataifa” – @caamil_88


Current track

Title

Artist