Mpinzani wa Simba Anashika Mkia Dubai

Written by on January 10, 2023

Klabu ya Al Dhafra inayoshiriki ligi kuu nchini Dubai (UAE Leagues) inashika nafasi ya 14 kati ya timu 14 za ligi hiyo ikiwa na alama 4 kwenye mechi 12 walizocheza hadi sasa.

Mechi 12 🗓
Alama (Pts) – 4
Ushindi – mechi 1
Sare – mechi 1
Kufungwa – mechi 10

Je ni kipimo sahihi kwa Mnyama ?

@cloudssports

 


Current track

Title

Artist