Mchekeshaji wa Miaka 9 Amnunulia Gari Baba Yake

Written by on January 9, 2023

 

 

Mchekeshaji kutoka nchini Nigeria, Victory Enorense (9), almaarufu ‘Kiriku’, ambaye alimnunua gari Baba yake mzazi, amesema alimnunulia gari hilo kwa sababu gari alilokuwa akitumia halikuwa katika hali nzuri tena. Lilikuwa limechakaa.

“Gari lake halikuwa zuri tena, tukaamua kumnunulia jipya. Tulifanya hivyo Mimi na Kaka yangu kwa sababu gari la zamani lilikuwa linampa shida”

Mchekeshaji huyo mdogo zaidi nchini Nigeria amepata umaarufu na mafanikio akiwa na umri mdogo.

Unatamani comedian gani hapa Bongo afikie mafanikio ya Kiriku?


Current track

Title

Artist