Nilikuwa Mrefu Zaidi Lakini Pasi Wanampa Messi – Ibrahimovic

Written by on January 13, 2023

“Nikiwa Barcelona nilikuwa mchezaji mrefu zaidi lakini Iniesta na Xavi wanapokuwa na mpira huwa wanamuona Messi pekee, siwalaumu kwa sababu Messi anapokuwa na mpira atafunga au atanipa asisti.

Wao wanapomuona Messi na Messi atamuona Zlatan cha ajabu ninapofunga goli , Pep Guardiola anasimama na kunitoa”- Zlatan Ibrahimovic

#cloudssports
#7bisha

 


Current track

Title

Artist