Wanaohama Timu ni Waongo
Written by Tariq on April 25, 2023
HiliGame | “Mtu kaubadili Dini ni rahisi kuliko kuhama timu wote wanaobadili ushabiki wa timu ni waongo kuna wakati wanaenda kushangilia maliwatoni timu yake ya moyoni anaipenda na anaitakia mema” – @luambano77
Tag waliohama timu sasa hivi wanachekea maliwatoni kama alivyosema Mkongwe Alex 😁
#CloudsDigitalUpates