Torry Lanez Kufungwa jela
Written by cloudadmin on March 15, 2022
Inaelezwa hatia iliyopelekea kuwekwa dhani na kutakiwa kutolewa dhamana kwa Msanii Torry Lanez, ni kuwa karibu na Megan Thee Stalion wakati kesi yao inaendelea kusikilizwa jambo ambalo lilikuwa ni kinyume na maagizo ya mahakama! • #255Xtra