Kaka Na Dada Walipoteana Tangu 1997 Wamekutana I Picha Na Barua Vyathibitisha | Manara & Ahmed
Written by Clouds FM on August 10, 2022
Kama haukuwa LIVE kwenye Radio, mzigo upo LIVE on Youtube, Mtanzania Abdillah mwenye makazi yake nchini Kenya aliyeamua kurejea nyumbani kuwatafuta ndugu zake waliopotezana kwa zaidi ya miaka 25.Ā #LeoTena