Maonyesho ya Africa’s Travel Indaba 2023 yazinduliwa rasmi Durban

Written by on May 9, 2023

Mapema asubuhi ya leo Waziri wa Utalii nchini Afrika Kusini Patricia de Lille ameongoza hafla ya uzinduzi wa maonyesho ya Africa’s Travel Indaba kwa mwaka 2023 iliyohudhuriwa na Wadau wa Utalii, Wanahabari kutoka mataifa mbalimbali Duniani kote.

Uzinduzi huo umefanyika katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa Durban (Durban ICC), ikiwa ni ufunguzi wa matukio mfululizo yatakayodumu kwa takriban siku 4 za kuutangaza zaidi utalii wa Afrika. •

#ATI2023 | #LiveSouthAfrica | @TravelToSA


Current track

Title

Artist