Njia Rahisi ya Kumtuliza Mwanaume

Written by on February 10, 2023

“Mwanaume ni rahisi sana kumtuliza ukimjua vizuri, ukijua namna ya kubonyeza the right codes, Wanaume wana codes na ukijua kuzibonyeza in a right way anaweza kukaa na kutulia mwenye mahusiano na hata kama anakuwa na changamoto ama udhaifu mchache ni rahisi kumrudisha kwenye mstari kama utajua jinsi ambavyo unatakiwa kuishi nae na kuendana naye”

“Unaweza kukuta Mwanaume ana Mke mzuri anamuacha nyumbani kisha anakwenda kuhangaika kwa Mwanamke asiye wa hadhi yake na asiyemstahili huko mtaani! Ni kwasababu hawa Watu wanajua ni namna gani wafanye vitu ambavyo Wanaume wanavipenda! Ishu sio kusoma, wala ishu sio shepu.” -Maneno ya @pastor_roseshaboka kwenye #PowerBreakfast ya CloudsFM

 


Current track

Title

Artist