Hakuna Kijiji Bila Wazee

Written by on February 6, 2023

” Saido ameonesha ubora wake kuanzia mechi ya kwanza Simba na hii ni tangu anakuja Tanzania, amecheza Klabu tatu (Yanga, Geita na Simba) hakuna sehemu ambayo Saido amefeli , Yanga walimuacha Saido kwa matatizo yao sio kiwango, alivyoenda Geita akaendeleza ubora wake ”

” Sasa hivi amefikisha magoli 10 ni moja ya Wachezaji wazuri sana na unaambiwa hakuna Kijiji kisichokuwa na Wazee wa kutembea nao katika Kijiji” – @mastertindwa

Dawatini huo ndio Uchambuzi wa Mshikaji wako Master Tindwa mwana wa Mtopa

@cloudssports
#LeoTena #7bisha


Current track

Title

Artist