Mapumziko Simba Ipo Nyuma kwa Bao Moja
Written by Tariq on February 5, 2023
Dakika 45′ za mchezo wa Kimataifa wa kirafiki zimemalizika hapa uwanja wa Benjamin Mkapa Wenyeji Simba SC wapo nyuma kwa bao 1-0 mbele ya Al Hilal ya Sudan.
HT : Simba 0-1 Al Hilal
Umeuonaje mchezo kwa dakika 45′ za kwanza ?
#7bisha