Written by on February 4, 2023

 

Mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza # EPL umemalizika kwa Everton kupata ushindi wa bao 1-0 mbele ya Vinara wa ligi hiyo Arsenal , bao likifungwa na Tarkowski dakika ya 60′ ya Mchezo.

FT : Everton 1-0 Arsenal

Hiki kinakuwa ni kipigo cha pili kwa Arsenal msimu huu , huku Everton wakishinda mchezo wa kwanza tangu mwezi Oktoba 2022

#cloudssports
#7bisha


Current track

Title

Artist