Rooney na Ndoto ya Kuifundisha Manchester United
Written by Tariq on January 13, 2023
“Manchester United na Everton ndio Klabu zilizo kwenye moyo wangu na zinanivutia sana, kuifundisha moja kati ya klabu hizi ni ndoto yangu .Kwa sasa naendelea kuongeza uzoefu ili nikipata nafasi nihudumu kwenye ubora zaidi”- Rooney
Je Manchester wanaweza kumuamini Rooney siku za usoni kama ilivyokuwa kwa Chelsea na Lampard ?
#cloudssports