Harmonize na Feza Kessy Kunani?

Written by on January 5, 2023

Moja kati ya vitu ambavyo vimeteka attention ya wengi asubuhi ya leo ni pamoja na hii post ya picha tata za Konde Boy Harmonize akiwa na mrembo Feza Kessy akiambatanisha na caption tata ya ‘No mara waaaaaa’

Jambo ambalo limewapeleka wengi kwenye mawazo ya couple kutokana na status ya mahusiano ambayo yuko nayo Harmonize kwa sasa baada ya kutangaza rasmi wiki chache zilizopita kwamba hayuko penzini.

Ukiachana na urembo wa Feza Kessy ambao unaweza kumsogeza Harmonize karibu yake, pia Feza Kessy ni Msanii, kitu ambacho kinaweza kuwakutanisha wawili hawa kwenye kazi, ukizingatia jana Harmonize alitangaza ujio wa Video 2 leo! 🙌🏽

Unatamani kuwaona wawili hawa wakisimama kama couple!? Au iishie kwenye kazi tu!? Drop your comment •


Current track

Title

Artist