Mimi Mars Athibitisha Kutemana na Marioo

Written by on December 7, 2022

Moja ya mahusiano ya watu maarufu ambayo yamekuwa yakitengeneza vichwa vya habari ni kati ya mwanadada Mimi Mars na Marioo ambao kwa muda wa mrefu kumekuwa na tetesi za kuwa wameachana kutokana na kutoonekana pamoja kwa siku nyingi.

Mimi Mars ameonekana kulithibitisha hilo kupitia XXL ya Clouds FM.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Clouds FM🇹🇿 (@cloudsfmtz)

Katika interview hiyo Mimi Mars ameelezea pia kutokuwa na mpango wa kupata mtoto kwa sasa kama ilivyo kwa dada yake Vanessa Mdee ambaye anatarajia mtoto wa pili na mchumba wake Rotimi.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Clouds FM🇹🇿 (@cloudsfmtz)

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Clouds FM🇹🇿 (@cloudsfmtz)


Current track

Title

Artist