Magari ya Mizigo Yaruhusiwa Kuvuka Mpaka wa Tunduma

Written by on October 12, 2022

Magari ya Mizigo yaliyokuwa yamekwama katika Mpaka wa Tunduma Mkoani Songwe na kusababisha kukaa kwa zaidi ya siku 7  katika  maegesho na foleni hatimae Kasi ya uvushaji imeongezeka na kufanya idadi ya magari kuvuka kwa siku kuongezeka huku madereva na baadhi ya wadau wa ushafirishaji kuiomba serikali kuja na ufumbuzi wa kudumu ili kuondoa changamoto hiyo ambayo imekuwa ikijitokeza Mpakani hapo.

Clouds imefika Mpakani hapo na kuona hali ilivyo na kuzungumza na madereva pamoja na wadau ambao wametoa maoni yao kuhusuana na hali ilivyo,huku Mkuu wa Wilaya hiyo ya Momba Fakii Lulandala akieleza jitihada zilizofanyika na mikakati ya Serikali.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Clouds TV 🇹🇿 (@cloudstv)


Continue reading

Current track

Title

Artist