ALIYEUAWA NA MCHEPUKO AZIKWA KWA MUMEWE

Written by on October 18, 2022

DKT Honest Kasasa ni Daktari wa zamu katika kituo cha Afya Bahi anathibitisha kupokea mwili wa marehemu Mariam na majeraha yaliyokuwepo kwenye mwili huo.

Marehemu huyo ameacha Watoto watatu aliozaa na Mume wake wa Ndoa ambaye walitengana miaa miwili liyopita na kuishi na Mwanaume huyo anayedaiwa Umuua ambapo kwa Mujibu wa Mila zao amezikwa Nyumbani kwa Mumewe.

Jitihada za kupata Jeshi la Polisi kuzungumzia tukio hili zinaendelea ili upata taarifa za mtuhumiwa wa mauwaji hayo.


Current track

Title

Artist