Ugeni wa Waziri Bashungwa Mjengoni

Written by on August 16, 2022

Sheba Kussaga, Mkurugenzi wa Biashara na Uwekezaji Clouds Media Group na Waziri wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI, @innocentbash muda mfupi baada ya kutoka kwenye mahojiano Maalumu kupitia vipindi vya #PowerBreakFast @cloudsfmtz na Clouds 360 cha @cloudstv.

Pia Waziri Bashungwa alipata wasaa wa kuzungumza na kuweka Maneno mawili/matatu na uongozi wa Clouds Media Group muda mfupi kabla ya kuondoka Mjengoni.

#HakunaKuleft

Tagged as

Current track

Title

Artist