HUSHPUPPI KWENYE HEADLINE TENA

Written by on January 16, 2017

Idara ya Haki nchini Marekani imekanusha taarifa kuwa raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu #Hushpuppi, ametekeleza wizi wa $400,000 (TZS milioni 926) kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Taarifa ambayo imekuwa ikisambaa kwenye mitandao na tovuti mbali mbali duniani. Hii ni kwa mujibu wa tovuti ya BBC Pidgin.

Hushpuppi alikamatwa mwaka 2020 kwa tuhuma za wizi wa jumla ya TZS bilioni 55.6, na anashikiliwa nchini Marekani, atafikishwa mahakamani Julai 11 mwaka huu kwa ajili ya kusomewa hukumu yake.

 


Continue reading

Current track

Title

Artist