Wasanii waipongeza Clouds kutimiza miaka 20

Wasanii mbalimbali wa Bongo Fleva kupitia akaunti zao za Instagram wameipongeza Redio Clouds kwa kutimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake Desemba 2, 1999. Baadhi ya wasanii hao ni pamoja na Zuwena Mohammed ‘Shilole’, Nikki Wa Pili, Belle 9 na John Makini.

https://www.instagram.com/p/B5kYsVmF1ck/?igshid=8eznbqjplwwc

0 Reviews

Write a Review

Leave a comment