TEMEKE WAJIANDAA NA TIGO FIESTA.

Kipindi cha Leo tena cha Clouds Fm kikiongozwa na watangazaji, Geah Habib, Jose Marah siku ya jana Ijumaa, Novemba 29, 2019 kiliruka Live kutokea eneo la Tandika wilaya ya Temeke ambapo ilikuwa amsha amsha kuelekea Kilele cha msimu wa Burudani Tigo Fiesta Grand Finale ikiwa Temeke ndio Wenyeji wetu siku ya Tarehe 8 pale Uwanja wa Uhuru.

Tazama picha mbalimbali ilivyokuwa.

0 Reviews

Write a Review

Leave a comment