MIAKA 20 YA CLOUDS

Tarehe 2 ya Disemba 1999, kwenye chumba kidogo sana, tukawasha mitambo. Tanzania ikaitika, safari ikaanza.

Haikuwa rahisi, magumu tumepita: tumeungua moto mara 3 sio moja, tumepoteza majemedari wengi tulioanza nao safari, na mengine kibao.

Katika yote, Tunamshukuru Mungu, tunawashukuru Watanzania na wasikilizaji na watazamaji wetu popote Duniani. Tulitupa mawe pamoja, tukamwaga nyuki na kukita ngoma katika burudani iliyo jadi yetu. Safari hii ni ya mafanikio, miaka 20 ya kufungua Dunia na bado tuko hapa tukiishi kiapo cha kuzidi kufungua Dunia.

Shukrani sana: #Clouds20 ni ni miaka 20 yenye levels.

Happy BirthdayClouds CloudsMediaGroup Tunakufungulia Dunia Kuwa Unachotaka

0 Reviews

Write a Review

Leave a comment