KLABU YA SIMBA YAVUNJA MKATABA NA KOCHA PATRICK AUSSEMS.

Bodi ya wakurugenzi ya kampuni ya Timu ya Simba imefikia maamuzi ya kuachana na aliyekua Kocha wake Patrick Wanard J. Aussems .

Taarifa imetolewa leo Jumamosi, Novemba 30, 2019 na Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Senzo Mbatha.

Timu hiyo imeachana na kocha huyo ikiwa nafasi ya Kwanza katika msimo wa ligi kuu Tanzania Bara ikiwa na Pointi 25 katika Michezo 10 waliocheza hadi Sasa.

0 Reviews

Write a Review

Leave a comment