HISTORIA, KWA MARA YA KWANZA TIGO FIESTA KUFANYIKA JUMAPILI.

Historia nyingine inaandikwa, tangu kuanzishwa kwa tamasha kubwa barani Afrika, la Fiesta mwaka huu 2019 linatarajiwa kufanyika siku ya Jumapili, Desemba 8 kwenye uwanja wa Kihistoria katika nchi yetu, Uhuru Stadium.

Mara nyingi tamasha hili la Tigo Fiesta limekuwa likifanyika siku ya Jumamosi. Baada ya siku ya Jumapili kesho yake ambalo itakuwa Jumatatu itakuwa mapumziko kufutia kuwepo siku ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika.

0 Reviews

Write a Review

Leave a comment