Michezo Sports Extra Uncategorized Yanga November 29, 2019 YANGA SC YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Rodgers Gumbo amerejeshewa madaraka ya Uenyekiti wa Kamati Mashindano kiasi cha wiki mbili tangu apokonywe. Novemba 7, mwaka huu Kamati ya Utendaji ya Yanga SC iliivunja Kamati…