Mtoto Mohamed Rashid Ramadhan ambaye anasomeshwa na project ya Ndondo Cup chini ya Clouds FM amemaliza masomo yake ya awali na kuwa miangoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri na mwakani anaanza darasa la kwanza. Muddy anasomeshwa katika…
Bodi ya wakurugenzi ya kampuni ya Timu ya Simba imefikia maamuzi ya kuachana na aliyekua Kocha wake Patrick Wanard J. Aussems .
Taarifa imetolewa leo Jumamosi, Novemba 30, 2019 na Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Senzo Mbatha.
Timu…
Mkufunzi wa Arsenal Unai Emery amefutwa kazi baada ya kuongoza timu hiyo kwa kipindi cha miezi 18. Raia huyo wa Uhispania , ambaye awali alikuwa mkufunzi wa Paris St-Germain katika ligi ya Ufaransa na kushinda mataji matatu…
MJUMBE wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Rodgers Gumbo amerejeshewa madaraka ya Uenyekiti wa Kamati Mashindano kiasi cha wiki mbili tangu apokonywe. Novemba 7, mwaka huu Kamati ya Utendaji ya Yanga SC iliivunja Kamati…
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana amefunga bao lake la tatu katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, ingawa timu yake, KRC Genk ilichapwa 4-1 na Salzburg ya Ausrtia katika mchezo wa Kundi…