Bongo Fleva Burudani Uncategorized November 30, 2019 Nafsi inanisuta kumtetea Rosa Ree- Mwana FA. Baada ya msanii wa Bongo Fleva, Rosary Roberts 'RosaRee' kufungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kutojihusisha na muziki kwa miezi 6, kutokana na kuvuka kwa video zake za ngono, Staa wa muziki huo, Hamis Mwinjuma amesema nafsi yake…