Training

STEREO AWACHANA ROSTAM

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Duke Gervalius 'Stereo' amewachana wasanii wa muziki huo kutoka kundi la Rostam, Roma na Stamina na kuwaambia kuwa waache kuogopa na kutuma watu ili wawatukane kwenye nyimbo kwani huo ni udhaifu. …

Napenda sana mapenzi- Karen

Msanii wa Bongo Fleva, Karen G. Habash ‘’Malkia Karen’’ amefunguka kuwa anapenda sana mapenzi kwa sababu umri wake unaruhusu na ndio sababu anapenda sana kuimba mapenzi. Ameyazungumza hayo leo Ijumaa, Desemba 13, 2019 alipokuwa akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo…