Uncategorized

Napenda sana mapenzi- Karen

Msanii wa Bongo Fleva, Karen G. Habash ‘’Malkia Karen’’ amefunguka kuwa anapenda sana mapenzi kwa sababu umri wake unaruhusu na ndio sababu anapenda sana kuimba mapenzi. Ameyazungumza hayo leo Ijumaa, Desemba 13, 2019 alipokuwa akitambulisha ngoma yake mpya iitwayo…