MSANII UKIWA NA SIFA HIZI, UNAFANYA KOLABO NA MARIOO.

Kila msanii ana vigezo vyake vya kufanya kolabo na msanii mwingine, Mkali wa Bongo Fleva, Omari Mwanga ‘Marioo’ ametaja sifa za msanii anayefanya naye kolabo.

 

“Nimefanya kolabo nyingi kama tano hivi, zinafanya poa sana, kikubwa nafanya kazi na msanii yoyote mwenye mipango inayoeleweka, na kazi yake yenyewe iwe nzuri na yenye ubora” Alisema Marioo alipokuwa akifanya mahojiano maalum na mtandao wa Cloudsfm.co.tz

 
 

Leave a comment