Tazama mwonekano mpya wa studio Clouds TV.

Baada ya kuteketea kwa moto Novemba 21, 2017 hatimaye studio ya Clouds TV imefanyiwa marekebisho na kukamilika.

Leo siku ya Jumatatu, January 6 2020 kipindi cha Clouds 360 kimeruka Live kwenye studio hizo. Tazama iliyokuwa.

Leave a comment