MWANDOSYA, MKEWE WATIMIZA MIAKA 48 YA NDOA.

Waziri Mstaafu wa wizara ya Waziri wa Nchi, Ofisi Ya Rais na Mbunge wa jimbo la Rungwe, Mark James Mwandosya na mkewe Mama Lucy Marunga Akiiki leo wametimiza miaka 48 ya ndoa yao.

Enzi hizo za ujana wao, hii picha ilipingwa mwaka 1972 huko Birmingham UK. Kupitia ukurasa wake wa Tweeter hivi ndivyo alivyoandika.

Leave a comment