X-Mass Colors yafanyika muda huu Mlimani City.

Kuelekea Sikukuu ya Christmas, Clouds Media Group imeandaa tamasha la wasanii wa nyimbo za Injili linalofanyika leo Jumapili Desemba 22, 2019 katika viwanja vya Mlimani City, Mwenge jijini Dar es Salaam. Tazama picha mbalimbali kinachoendelea.

Leave a comment