nina miaka 32- shishi

Msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameweka wazi umri wake ikiwa leo ameadhimisha siku yake ya kuzaliwa, amesema ana miaka 32.

Akizungumza kupitia kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, leo Ijumaa Desemba 20, 2019 amesema huo ndio umri wake na cheti chochote kitakachoonekana kwenye mitandao ya kijamii wasikiamini kwa sababu hata cheti kinachonesha umri wake. Tazama hapa akizungumza, kupitia ukurasa wa Instgram wa Clouds FM.

Leave a comment