Mshambuliaji wa Ivory Coast atua Yanga.

Mshambuliaji raia wa Ivory Coast Yikpe Gnamien (kulia) tayari amewasili leo Ijumaa Desemba 20, 2019  jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukamilisha usajili wa kujiunga na klabu ya Yanga.

Gnamien amepokelewa na Mkurugenzi wa Mashindano Yanga Bw. Thabith Kandirro (kushoto) asubuhi ya leo uwanja wa ndege wa Mwl. Julius K. Nyerere.

 
 

Leave a comment