Penzi la Nay Wa Mitego chupu chupu kuvunjika, kisa shamsa

Kufuatia video iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’’ akiwa na aliyekuwa mpenzi wake mwigizaji, Shamsa Ford, Rapa huyo amekiri kuwa video hiyo imemletea shida kwenye mahusiano yake ya sasa. Tazama video akizungumza.

 

Leave a comment