Nchimbi wa Azam auzwa Yanga

Klabu ya Azam imetoa taarifa leo Alhamis, Desemba 19, 2019 ya kumuuza Mshambuliaji wake Ditram Nchimbi, aliyekuwa kwa mkopo Polisi Tanzania kwa Klabu ya Yanga.

Taarifa hiyo imetolewa kupitia akaunti ya Instagram ya Klabu hiyo imesema uongozi wa Azam FC ulikuwa na nia ya kumuongezea mkataba Nchimbi, lakini mchezaji huyo aliuomba uongozi kutoongeza mkataba mpya na kuwataka wamalizane na Yanga ili akajiunge nao kwenye usajili wa dirisha dogo.

Isome taarifa hapa:

Leave a comment