Beki Mghana alivyobakishwa Yanga.

Afisa Mhamasishaji wa Yanga SC, Antonio Nugaz (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, beki Mghana Lamine Moro baada ya mchezaji huyo kukubali kubaki kuendelea kuitumikia klabu hiyo kufuatia awali kutaka kuondoka kwa sababu ya kutolipwa mishahara kwa miezi miwili.

Leave a comment