Hamisa Mobeto afunguka gari alilojizawadia kwenye birthday yake.

Msanii wa Bongo Fleva na Mwanamitindo, Hamisa Mobeto amefunguka kuhusu gari alilojizawadia kwenye sherehe ya kuzaliwa kwake na maoni ya watu mbalimbali kuhusu gari hilo.

Tazama video akizungumza kwenye mahojiano maalum aliyoyafanya leo Jumatatu, Desemba 16, 2019 kupitia kipindi cha Social Buzz cha Clouds Tv.

Leave a comment