Maagizo ya Baba kuhusu X-Mass Colors.

Leo Jumatatu, Desemba 16, 2019, Chawa wa Baba, Mussa Hussein ametoa tamko kutoka kwa Baba kupitia kipindi cha XXL cha Clouds FM, kuhusu tamasha la Christmas Colors litakalofanyika kwenye viwanja vya Mlimani City, Mwenge, Jijini Dar es Salaam, siku ya Jumapili ijayo Desemba 22, 2019. Tazama video.

Leave a comment