ROMA Aeleza Sababu Kujichimbia Marekani.

Baada ya maswali kuwa mengi juu ya kinachoendelea kumuweka msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Musa, ‘ROMA’ nchini Marekani ikiwa kuna stori za chini chini zikidai kuwa huenda wimbo wake wa ‘Anaitwa Roma’ kuwa sababu ya yeye kujichimbia huko, hatimae Roma amefunguka.

Amefunguka kupitia kipindi cha Clouds Fm Top 20 cha Clouds FM kilichoruka siku ya jana Jumapili Desemba 15, 2019.

Leave a comment